APPLY ONLINE 2021/2022(DODOMA CAMPUS) CLICK HERE
APPLY ONLINE 2021/2022(MAIN CAMPUS -DAR ES SALAAM) -Click here
JOINING INSTRUCTION-DAR ES SALAAM CAMPUS Download
APPLY ONLINE 2021/2022(MWANZA CAMPUS) CLICK HERE
MEDICAL EXAMINATION FORM--DAR ES SALAAM CAMPUS Download
APPLICATION FORM --DAR ES SALAAM CAMPUSDownload
MAFUNZO YA WATOA DAWA KATIKA MADUKA YA DAWA MUHIMU NA MAFUNZO YA UMILIKI(ADDO) PLEASE PAKUA FOMU YA MAOMBI HAPA
Unaweza lipia kupitia NMB Bank, DCB Bank,Tigo Pesa,MPesa,Air tel money au Easy Pesa
Mkuu wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi City, chenye usajili kamili wa NACTE kwa namba za usajili REG/HAS/139 kilichopo Dar es Salaam Kigamboni,
-------------------------------------------
DOWNLOAD APPLICATION FORM PRINT JAZA LIPIA 30,000 YA USAJILI 20710022027 NMB SCAN FORM NA BANK SLIP KWENYE PDF NA TUTUMIE WHATSAPP kupitia namba 0688965492
Maombi yanapokelewa chuoni moja kwa moja chuoni Mikwambe-Kwa Pinda-Kigamboni-Dar es Salaam. Tembelea tovuti yetu www.ccohas.co.tz ili kujiunga moja kwa moja kwenye mtandao(apply online) au pakua (download) Fomu ya kujiunga (Application form) na Fomu ya maelezo ya kujiunga (Joining Instructions form) fuata maelekezo ijaze na ututumie kwa njia ambayo ni rahisi kwako.
Maombi yote yatumwe kwa Mkuu wa chuo, S.L.P 90372 Dar es Salaam au kupitia barua pepe. admission@ccohas.ac.tz
Tarehe ya kuripoti chuoni Kwa watakaochaguliwa kujiunga na chuo, tarehe 15/03/2020. Ada zetu ni 2,380,000/= na unaweza kulipa kwa kidogokidogo.
Kwa mawasiliano zaidi piga nambari 0758841843
Wote wenye sifa mnakaribishwa Imetolewa na Mkuu wa CHUO CCoHAS DAR ES SALAAM
Admission for the academic year 2020/2021 please Apply nowClick here
Please download application form,Admission form/Joining Instruction/ADO and Medical form Click here
Please generate reference number for school fee payments Click here
Our students will have enough and good exposure to variety of practical skills. We have our Lab which is fully utilized for student practice under supervision and guidance of our qualified lecturers and tutors.